Jeremiah 12:11-12


11 aLitafanywa kuwa jangwa,
lililokauka na kuachwa ukiwa mbele zangu;
nchi yote itafanywa jangwa
kwa sababu hakuna hata mmoja anayejali.

12 bJuu ya miinuko yote ilivyo kama jangwani
mharabu atajaa,
kwa maana upanga wa Bwana utawala,
kuanzia ncha moja ya nchi hadi nyingine;
hakuna hata mmoja atakayekuwa salama.
Copyright information for SwhKC